NYUMBA MPYAA KABISA KUBWA SANA INAUZWA MBEZI NJIA YA MPIGI MAGOHE
BEI NI MILION 75 MAONGEZI YAPO
INA UKUBWA WA ENEO LINA SQUARE METER 25/25
FENSI NDO IMEANZA KUJENGWA KIUFUPI NI STAND ALONE
YENYE VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DYINING KUBWA JIKO NA STORE CHOO CHA FAMILY KIKUBWA NA BAFU LAKE
MASTER NI KUBWA SANA YAANI
BARA BARA MKEKA HADI KWENYE NYUMBA
UMEME TIYALI MAJI TIYALI HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIPO IPO KWENYE MTAA WA KISHUA SANA
KUPELEKWA SITE NI 20,000/=
KARIBUNI SANA