NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI MANISPAA YA UBUNGO DAR ES SALAAM
BEI TSH MILIONI 120 MAONGEZI YAPO
NYUMBA INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM SITTINGROOM DININGROOM JIKO STORE PUBLICK TOILET INA MAJI UMEME FENCE NK
NYUMBA INA HATI DITTLE DEED
UKUBWA WA KIWANJA SQMT 650
UMBALI KUTOKA MAIN ROAD KM 1
NYUMBA IPO JIRANI NA HUDUMA ZOTE ZAKIJAMII