Nyumba inauzwa ipo mbweni malindi
Ukubwa wa eneo square meter 938
Vyumba vitatu sebule jiko choo full AC ipo bweni malindi
Hati safi kabisa nyumba kubwa ina vyumba 3 viwili ni masta pia kuna
Servant quarter ina vyumba viwili kimoja ni master jiko sebule ya kutosha zina uzwa milioni 300 maongezi yapo nyumba ni mpya.