TZS 150,000,000
/mo
700
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania

NYUMBA NA MAFREM VYOTE KWA PAMOJA VINAUZWA

NYUMBA NI ARPATIMENT ZIPO 5 YANI CHUMBA NA SEBULE VYOO NJE

NA MAFREM YAPO 12

VYOTE KWA PAMOJA VINAUZWA

BEI MIL 150

ENEO SQM 700
NYUMBA IPO KIFULU KWA UNJU

KM 3 KUTOKA MBEZI KWA MSUGULI

NA KM 1 KUTOKA KINYEREZI ROAD

HATI MAUZIANO SELIKALI ZA MTAA

KARIBU

Overview

Sale Price TZS 150,000,000
Size 700
Property Lot Size 700
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now