JENGO LA KIFAHARI LINAUZWA
Location Goba
Ukubwa 2500sqmt
Lina vyumba sita(6)
Vyumba vyote ni self conteiner
Yani vyote ni master
Juu kuna master yenye ukubwa 300sqmt
Choo kikubwa
Kota ndogo
Vyumba viwili
Mageti 2 nyuma na mbeli
Swimming pool
Kutoka lami hadi kwenye nyumba ilipo ni mita 200
Ina hati miliki
Ina garden nzuri
INAUZWA TSH B1.2 (BILIONI MOJA POINT MBILI)
MAONGEZI YAPO KARIBUN WAPENDWA