Nyumba nzuri ya kisasa yenye vyumba vitatu kimoja ni master sebule jiko na store inauzwa Kigogo Mkwajuni ipo kwenye mtaa nzuri karibu na barabara ukubwa wa kiwanga ni 250sqmt ina leseni ya makazi bei ni 80m.
Please Add a first listing