TZS 55,000,000
/mo
Keko, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, 14129, Tanzania

NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA KEKO MWANGA.

LOC : KEKO MWANGA DAR
PRICE : 55 MILLION CHAP
UMILIKI : HATI (TITTLE DEED)

HII SIO YA KUIKOSA,,,,,………!!!!!! KARIBU UKAGUE UTUPE OFFA YAKO…. .
.
.
SIFA:- CHIMBA NA SEBURE ZIPO TATU NA KILA MOJA KODI NI LAKI MOJA.

VYUMBA VIWILI NI SINGLE KILA KIMOJA KODI NI ELF HAMSINI.
.
KWAHIYO NYUMBA NZIMA KWA MWEZI UNAPATA LAKI NNE ZA KODI.

HUDUMA ZOTE ZIPO… GHARAMA YA KUTEMBELEA SITE NI SH ELF 30

Overview

Sale Price TZS 55,000,000
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now