Nyumba ya biashara Kona plot
Nyumba anauza ana shida zake .
Nyumba hii Iko tandika raund about ya Daviskona kama unarudi tandika sokoni
Kiwanja sqm 357.
In frem 16.
Ndani na nje.
Frem za nje Kodi anachukua 300,000
Za ndani 200,000 kwa mwezi.
Bei ya kuuza 290m maongezi yanakaribishwa