JAMANI MWENYE NYUMBA ANASHIDA YA HARAKA
NYUMBA YA KISASA INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM
KWA TSHG MIL 22,000,000/=
UKUBWA WA ENEO SQM 400
INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM
UMEME UPO MAJI YAPO SHULE NA BALABALA KUU JIRANI TU
INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
KWA MHUTAJI SILIASI ANIPIGIE SIMU KUFIKA KWENYE NYUMBA AKAGUE AKIRIDHIKA TUMALIZE BIASHARA