Nyumba ya kisasa inauzwa Ununio ni nyumba ya vyumba vitano kati ya hivyo viwili ni master,sebule,jiko,dining na public washroom kuna servant quarter ya chumba kimoja kiwanja chake kina ukubwa wa 1000sqmt.
Please Add a first listing