Nyumba inauzwa nyumba ipo mbezi msakuzi kituo kwa asenge nyumba ipo km 5 toka Moro road na miter 800 toka mpiji road nyumba ni ya vyumba v3 sebule daining jiko chumba master public eneo sqm 800 bei mil 35 tu maji yapo karibu na umeme upo nyumba ya pili nyumba Ina hati ya mauziano selikali ya mtaa karibu mteja na mdau