Nyumba inauzwa ipo mbezi beach makonde dar es salaam nyumba ya kumalizia kama inavyoonekana inaukubwa wa kiwanja sqm 1344 ina hati mpya kutoka bagamoyo road mpaka kwenye nyumba ni mita 700
Please Add a first listing