Gorofa halijaisha linauzwa Madale Sheraton
Distance Kutoka lami ni KM 1 mpaka nyumbani
Gorofa chini
-Living room, study room, Gym, Public toilet, One Bedroom, Prayer room, Kitchen na Store.
Gorofa Juu
-3 Master Bedroom, 2 Balcony, 2 Closet, Lounge room na Public toilet.
-Plot size Sqm 629
-Eneo limepimwa hati bado
Nyumba ina ramani yake tayari na hatua ilipofika picha zinajieleza
Bei shilingi milioni 130 maongezi yapo