Bonge la Pagale linauzwa lipo Goba Mageti umbali wa mita 100 tu kutoka barabara kuu ya mbezi Goba pagale lina vyumba kumi na mbili ni kwa ajili ya matumizi ya guest na nyuma vipo vyumba 6 na jiko au chumba Cha wahudumu au waweza kuigeuza lodge kalii na bar ukubwa wa eneo lote ni upana 85m na ulefu 60m bei ni mil 350 Kama utachukuwa nyumba ambayo Ina eneo la 50m x 60m ni mil 250 maongezi yapo na Kama utachukuwa kiwanja tu Cha hapo pembeni hapo bila nyumba ni mil 150 maongezi yapo eneo limepimwa hati bado karibu mteja