NYUMBA/PAGALA ZURI SANA MTAA MZURI INAUZWA NA BANK
LOC; MABWEPANDE KARIBU NA KITUO CHA POLICE DAR
AREA : ~SQM 1000
PRICE : MIL 30 TUPE OFFA YAKO
UMILIKI : SALES AGREEMENT (MKATABA WA SERIKALI YA MTAA)
HII SIO YA KUIKOSA,,,,,………!!!!!! KARIBU UKAGUE UTUPE OFFA YAKO…. .
.
.
SIFA:-
.
-3BEDROOMS ZOTE SELF
-KITCHEN
-DINNING
-SITTING ROOM
-PUBLIC TOILET
HUDUMA ZOTE ZIPO… GHARAMA YA KUONESHWA SITE NI SH ELF 30…KARIBU TUKUHUDUMIE