Eneo lenye Pagale la nyumba linauzwa Tabata Senene
Distance Mita 50 kutoka lami pia lipo karibu na Shule ya Tusiime Tabata.
-Eneo lina nyumba ambayo haijapauliwa yenye vyumba 3 vya kulala, sebule, jiko, dinning pamoja na public toilet,
Servant quarter Ina vyumba viwili vya kulala, sebule na jiko na choo cha nje.
-Plot size Sqm 430
-Eneo lina mawe hati bado
Bei shilingi 190 maongezi yapo