PAGALE LA GHOLOFA LINAUZWA PAGALE LIPO MBEZI KWA MSUGULI
PAGALE NI LA VYUMBA 7
SEBULE MBILI DAINING JIKO STOO PUBLIC MBILI JUU NA CHINI
ENEO SQM 1300
HATI MAUZIANO SELIKALI ZA MTAA
UMBALI KUTOKA MORO ROAD NI MITER 500
BEI MIL 120
MTAA MZULI SANA WENYE NYUMBA ZILIZO JENGEKA KIMAZUBUTI
KARIBU SANA MTEJA