Pagale linauzwa mahali lilipo ni goba mpakani bei mil 20 maongezi yapo eneo sqm 400 pagale Lina vyumba v4 Kati ya hivyo v2 masterbadroom Ina sebule jiko daining public kiwanja kimepimwa bado hati karibu goba mpakani umbali km 9 kutoka mbezi ya kimara usafili daladala 500 na kutoka goba njia nne km 6 na kutoka madale km 3 karibu