Pagale linauzwa pagale lipo kimara bar mpya
Pagale ni la vyumba V3 sebule daining jiko stoo public chumba Master
Eneo sqm 400
Bei mil 17
Hili pagale mmiliki amechemka amemaliza hiyo master tu ndo anaishi hapo hiyo sehemu ilobaki kutokana na shida zake anaamuwa aiweke sokoni
Nyumba ipo mtaa mzuli sana na hapo ndio mwisho wa bajaji zitokazo kimara dalajani stendi ya mwendo kasi