PAGALE LINAUZWA PAGALE RIPO MBEZI MSUMI
PAGALE NI LA VYUMBA V3 SEBULE DAINING JIKO CHUMBA MASTER PUBLIC
ENEO NI SQM 👉 400.
BEI NI MIL 👉 22.
UMBALI TOKA MORO ROAD KM 👉 9
NA KM 4 TOKA MADALE MWISHO
PAGALE LISHAPIGWA PLASTA NJE NA NDANI
PIA NA NDANI IMEKWISHA PIGWA LAFU TAYARI
UKINUNUA UNAPAUWA NA KUWEKA TAILIZI NA MILANGO NA GRIRI
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA