BONGE LA PAGALE LINAUZWA PAGALE LIPO MBEZI MSUMI
PAGALE NI LA VYUMBA V4 SEBULE DINING PUBLC MASTER
ENEO SQM 420
BEI MIL 18
MAONGEZI YAPO KIDOGO
UMBALI KUTOKA MORO ROAD KM 7
NI JILANI NA ALIPO JENGA MCHEZAJI WA SIMBA SHABALALA
NA MITER 700 KUTOKA BARABARA KUU YA MSUMI
KARIBU SANA MTEJA HUWEZI KUACHA HII NYUMBA IPO MTAA MZULI SANA WENYE NYUMBA ZILIZO JENGEKA KIMAZUBUTI