Pagale linauzwa pagale lipo tegeta A ccm kwa bedui pagale Lina vyumba v4 Kati ya hivyo v2 Master eneo sqm 800 bei mil 25 maongezi yapo km 2 toka barabara ya goba ya lami na miter 300 toka barabara iyendayo goba mpakani eneo limepimwa bado hati na mawe tayali Kuna sebule jiko daining public stoo