Pagale linauzwa pagale lakibabe hiloo pagale lipo tegeta A kwa madawa vyumba v4 sebule jiko daining chumba master bedroom zipo mbili publc sehemu ya kusomea eneo sqm 800 bei mil 45 mita 100 toka kituo Cha daladala km 3 kutoka barabara ya lami ya goba eneo limepimwa bado hati karibu