Bagamoyo mkoa wa pwani kiwanjakinauzwa
kipo bagamoyo mapinga kushoto Kama unaelekea bagamoyo mjini
kiwanja kipo miter 600 tu toka barabara kuu ya lami
kinaukubwa wa sqm 2340
kiwanja kimezungushiwa fensi
Pia kuna maji ya Dawasco
hati ipo clean title deed
Bei tsh million 65
Contact
call 0712531657
#0789731695 whatsupp