Viwanja vina uzwa vipo boko beach viwanja vipo tatu na kila kiwanja kina sqm 900 kina uzwa ml 80 kila kiwanja kimoja. unaweza ukaunganisha vyote v3 au ukachukua kimoja au viwili na kila kiwanja kina hatiyake jina Lina soma la mtu mmoja juma sqm 2700 bei ml 270