ENEO LENYE UKUBWA WA SQM 5500 LINAUZWA
ENEO LIPO VIKAWE MAPINGA KM 5 TU KUTOKA BAGAMOYO ROAD
ENEO LINAUZWA NA BANK
ENEO LINA MABANDA YA MIFUGO NA MIFUGO IPO HAPO NDANI
NA KUNA MSINGI WA GODOWN KUBWAA AMBAO TOFALI KAMA ELFU TANO ZISHAINGIA
PIA KUNA VYUMBA 2 VYA WAFANYAKAZI
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
KARIBU SANA MTEJA