NYUMBA INAUZWA
IKO MBEZI BEACH
BEI NI MIL 280 tshs
INA HATI MILIKI
UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1344
Ni nyumba ambayo aijakamilika Ujenzi, ramani ya kisasa,
Unaweza pia kuibadilisha kuifanya Aparment za wapangaji Au nyumba ya kuishi binafsi Au Ofisi.
NYUMBA INAANGALIA BARABARA YA MTAA.