Plot inauzwa Msata-Bagamoyo, ipo karibu na Barabara kubwa kwa umbali Mita 300.
Plot ina hati ya kisheria ( TITLED DOC.)
Ina ukubwa Heka 247 za ukubwa, Eneo lina hudama ya umeme na maji
pia linafaa kwa shughuli za kibiashara(uwekezaji) na makazi
Gharama ni kiasi DOLA 3000000 $