Pagale la vyumba v3 sebule jiko daining chumba master public eneo sqm 400 linauzwa pagale lipo mbezi msumi km 9 kutoka mbezi ya kimara na km 4 toka madale mwisho bei mil 20 maongezi yapo hati mauziano selikali ya mtaa kiwanja kimepimwa bado hati karibu mteja