Shamba lenye ukubwa wa ekari moja na nusu, limepimwa surveyed, hati on process, eneo lote lipo level moja, pamejengwa nyumba ya vyumba viwili, tanki kubwa la matofari LA kuhifadhia maji, banda dogo la mifugo. Majilani wapo, umeme upo,
jilani,Eneo lipo kibaha msangani, ukitokea kituo cha kibaha kwa matiasi unafuata Barabara mpya ya lami inayojengwa kuelekea Ngome ya jeshi la nyumbu, baada jeshi unachepuka mkono kushoto kuelekea Msangani.,