*Shamba la Ekari 10 limegusa lami linauzwa Tengeru-Arusha*
*Distance* Kutoka Arusha-Moshi Road mpaka shambani ni 1.5 KM pembeni ya By Pass ya Mshikamano-Mandela University
-Plot size Ekari 10
-Shamba lina maji ya kumwagilia yanayotokana na mto kuzunguka shamba.
-Shamba linakubali mazao ya kila aina *(Kwa sasa kuna Mpunga, Mahindi na Mbogamboga)*
-Hati ipo (Title deed)
*Bei kwa Ekari ni shilingi milioni 80 maongezi yapo*