Shamba lenye ukubwa wa Ekari 8 linauzwa VISIGA MADAFU – MKOA WA PWANI
Distance Kilometer 1 tu kutoka barabara kuu ya Morogoro road
Ndani ya shamba kuna maji safi ya Dawasa,Nyumba ya wafanya kazi, miti ya miembe, minazi ya kutosha pia kwasasa shamba linalimwa njugu mawe na mahindi
DOCUMENT Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
Samba limepimwa (Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
Shamba lipo mtaa mzuri sana ulio jengeka na watu mashuhuli
barabara safi inayopitika vyema na magari ya aina zote
Bei shilingi milioni 15 kwa kila Ekari 1 maongezi kidogo yapo
NOTE📍umbali ni kilometre 1 tu kutoka barabara kuu ya Morogoro road.