KIWANJA/ SHAMBA KUBWA LA HEKA 50 LIMEGUSA BARABARA YA MOROGORO ROAD LINAUZWA
LIMEPIMWA NA LINA HATI
KIWANJA NI KIKUBWA SANA
KINAFAA KWA BIASHARA
☑️ KUJENGA SHULE
☑️ KUJENGA SHELI
✅ YARDS
✔️GARAGE
☑️ CHUO
✅ GODOWNS
Na biashara nyingine nyingi sana……….
UWANJA UPO
MKOA WA PWANI
WILAYA YA KIBAHA
KIJIJI CHA CHAMAKWEZA
Uwanja umegusa barabara ya Morogoro Road kabisaa
Bei ni shilingi Bilion 1.3 maongezi yapo
KARIBUNI SANA