TZS 1,500,000
/mo
Kongowe, Kibaha Town, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania

Shamba bado lipo Shamba linauzwa kila heka moja bei ni mil 1.5 shamba lina ukubwa wa heka 5 zenye miti ni heka mbili na zisizo na miti ni heka 3 jumla ni heka 5 shamba lipo mkoa wa pwani maeneo ya soga mahali kwa kuingilia no kongowe ya Moro road km 10 kutokea hapo kongowe Shamba lipo karibu na stesheni ya leli ya mwendo Kasi mashamba hayana hati miliki Yana hati za kimila
Karibu

Overview

Sale Price TZS 1,500,000
Property Lot Size 20234.25
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now