Shamba linauzwa shamba lipo mbezi malamba mawili king,azi Shamba ni la heka 10 kila heka moja mil 70 shamba Lina title deed shamba Lina huduma zote umeme maji ya dawasco Kama uonavyo tank la dawasco barabara inayopitika kipindi chote shamba limezungukwa na majumba Kama unavyoona hapo kwenye picha umbali km 3 kutoka barabara ya lami itokayo mbezi kuelekea kinyerezi karibu