Shamba linauzwa Songea
Location Shamba lipo
wilaya ya Namtumbo
kata ya Lusewa Kijiji Ligunga umbali kutoka barabara kuu ni kilometer 7
-Ukubwa wa shamba ni Ekari 35,000.
-Eneo moja ndani yake kuna maji yasiokauka.
-Mazao yanakubali mengi kama Karanga, Mahindi Maharage, Soya, Mpunga, Miwa, Ufuta, Korosho Parachichi na mengine mengi.
-Document; Lina hati
Bei ya kila Ekari moja wanauza shilingi 300,000/-