Unfinished House inauzwa Kinzudi Magorofani
Nyumba kubwa Ina vyumba 3 vyote ni self contained, sitting room, dinning room, public toilet pamoja na kitchen.
Servant quarter Ina vyumba viwili vyote master, public toilet na sitting room.
-Plot size Sqm 900
-Hati safi (clean title deed) Ina title deed mbili.
Bei shilingi milioni 250 maongezi yapo