*UNUNIO-BOKO CHAMA, KIWANJA KINAUZWA*
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM 2449
Umbali kutoka barabara ya ramii ni mita 70 tu
Kiwanja kinafaa sana kwa kujenga Luxury House/Apartments
Kiwanja kipo Mtaa wa kishua zaidi, pia kipo karibu na Habart Kairuki Memorial University
Kiwanja Kina hati milki (Title Deed)
Bei 300milioni, mazungumzo yapo
●Wasiliana nami tupange lini nikupeleke site