*NAUZA VIWANJA VIPO KIBAHA KWA MATIASI MTAA WA GARAGAZA*
Viwanja vipo umbali wa kilometers 4 kutoka barabara ya morogoro road
Bei ya viwanja vinaanza na million 3
Ukubwa wa viwanja ni
sqm 20-20
na kuna ukubwa tofauti sqm 20-30 pia sqm 30-30 kuendelea bei zinatofautiana kulingana na ukubwa wa kiwanja
Viwanja hivi ni vichache na huduma zote za kijamii zipo maji umeme hapohapo
Umiliki wa viwanja hivi ni hati ya mauzi ya serikali ya mtaa husika
*BS REAL ESTATE AND CONSULTANCY COMPANY*
@Bs_real_estate_and_consultancy🇹🇿
Karibu tulimalize