Viwanja vinauzwa viwanja vipo mkoa wa pwani mlandizi
Viwanja vipo umbali wa km 3 toka mlandizi center
Viwanja vina ukubwa wa sqm 👉 600
Kila kimoja vipo 2 ukiangalia kwenye hiyo lamani utaona ni hapo kwenye kijiti katikati ya lamani kinaonesha
Viwanja vina tittledeed mkononi
Viwanja vipo vikuluti maji umeme vipo
Viwanja vilikuwa vya mladi utaona hiyo lamani
Bei kila kimoja ni mil 1.5
Kwa kila kimoja na Kam utachukuwa kimoja urauziwa mil 2 tu
Karibu mteja
Kupelekwa elfu 20